Áudio
#Cursos de francês bilíngue

Le Talisman brisé en français-kiswahili

Talisman brisé en kiswahili
RFI
Tamthilia ya redioni ya lugha mbili katika matukio 25 ya dakika 7 ili kusikiliza kwa lugha ya kifaransa na kwa lugha asilia mikasa yote ya ya kipolisi inayovutia.

Acte 1 : utekaji wa Profesa Omar

Acte 1 : utekaji wa Profesa Omar

D. Esalé

Kwame ni mtunza bustani wa Gorom-Gorom, Burkina Faso. Bosi wake, Profesa Sekou Omar, alitekwa nyara akishuhudia. Katika purukushani hizo, hirizi yake ikavunjika.

Kwame anaaza kumtafuta Omar, ambaye anataka kuifanya upya jangwa iwe ya kijani tena. Ni nani aliyemteka?

Utekaji nyara na hirizi ya maajabu vinahusiana na hadithi ya shangazi wa Kwame? "Sikiliza upepo, hii ni Sahara inayolia. Inataka kuwa ya kijani. Siku moja, atatokea mtu mmoja. Atayapa uhai majani na miti.

Épisode 1 : Vous n'êtes pas le professeur Aboubakari ?

 

Épisode 2 : Je vais à Tondiédo !

 

Épisode 3 : Qu'est-ce que c'est ?

 

Épisode 4 : Vous avez une chambre, s'il vous plaît ?

 

Épisode 5 : La prophétie de la tante

 

Acte 2 : Marafiki au maadui?

Acte 2 : Marafiki au maadui?

D. Esalé

Baada ya kutuhumiwa na polisi kuhusika katika utekaji wa bosi wake Profesa Omar, Kwame alikamatwa. Anaachiwa baada ya watekaji kudai malipo ya kumkomboa profesa Omar.

Kwame anamkaribia Nathalie kwa sababu yeye pia anaijua hadithi hii...

Uchunguzi wake utampeleka Kwame hadi Niger, katika Chuo Kikuu cha Niamey.

Épisode 6 : Elle est policière

 

Épisode 7 : C’est toi, l’enlèvement !

 

Épisode 8 : Le Sahara pleure, il veut reverdir

 

Épisode 9 : Professeur Kouada est ton professeur !

 

Épisode 10 : Je viens avec toi !

 

Acte 3 : Dalili mpya

Acte 3 : Dalili mpya

D. Esalé

Akisafiri na Clement kwa gari au kwa mtumbwi, Kwame anaanza kuelewa iliokuwa kazi ya bosi wake, mtaala; wa vinasaba vya kilimo.

Mara mbili, wamejaribu kumtoa kwenye uchunguzi wake: kwa kumuwekea sumu aina ya Chapalo mjini Boubon; na kumzuia kukutana na profesa Kouada mjini Niamey.

Kwa msaada wa Nathalie, akagundua baadhi ya maneno ya siri ili kufungua jalada la maajabu la " Sahel iliyo ya kijani".

Épisode 11 : Tu dois aller à l’est !

 

Épisode 12 : Un verre de chapalo, mon ami ?

 

Épisode 13 : Il faut garder le secret

 

Épisode 14 : Le professeur Kouada est grand et mince

 

Épisode 15 : Il était petit et gros

 

Acte 4 : Kuelekea waliko watekaji

Acte 4 : Kuelekea waliko watekaji

D. Esalé

Mbio za  kumuokoa Profesa Omar zinashika kasi. Watekaji wake wanatishia kumuua ikiwa hawatapata fidia.

Kwame na Nathalie wanafuatilia dalili mafrofesa feki Aboubakari na Kouada. Je, wana uhusiano na mtu huyu asiyeeleweka, Fendjougou anayejulikana kwa biashara mbalimbali?

Épisode 16 : Ils vont tuer le professeur !

 

Épisode 17 : Le quatrième e-mail du professeur Aboubakari

 

Épisode 18 : Ensuite, ils ont pris des fusils

 

Épisode 19 : Nathalie dit que tu vas à la mare de Darkoy

 

Épisode 20 : Qu’est-ce que tu veux, Kwamé ?

Acte 5 : Muda unayoyoma

Acte 5 : Muda unayoyoma

D. Esalé

Je, Kwame atafanikiwa kuepuka operesheni ya polisi ili kumuokoa "mtu mwadilifu na mwema"?

Ni usiku sasa, mahali panapofungamana, ndipo ambapo tukio  la mwisho litafanyika!

Watu wa Fendjougou wana silaha, polisi pia, pesa za kulipia kuachiwa kwa mateka zipo tayari: Yuro 100,000 ambazo zinaweza kusababisha tamaa nyingine ...

Épisode 21 : On reste derrière toi !

 

Épisode 22 : Après 10h30, c’est trop tard !

 

Épisode 23 : Quel beau travail !

 

Épisode 24 : Bientôt, le Sahara va reverdir

 

Épisode 25 : Il faut croire au conte

 

Publicado em 30/11/2015 - Modificado em 19/02/2019

RFI SAVOIRS n'est pas responsable des contenus provenant de sites internet externes

Fréquentation certifiée par l'OJDOJD Dénombrement des médias